Katalogi ya Mafunzo

Sehemu hii ina ratiba ya mafunzo mbalimbali yatolewayo na SIDO ambayo yatafanyika katika mikoa yote ya Tanzania bara. Katika sehemu hii unaweza kupata taarifa mbalimbali kuhusiana na aina ya mafunzo SIDO inaweza kukupatia kama mteja kutokana na mahitaji yako, utaona jina la mafunzo hayo, maelezo ya mafunzo hayo, tarehe na sehemu yatakapofanyika. Kwa taarifa zaidi tafadhali fika katika ofisi husika za SIDO mikoani.

Tarehe ya Mafunzo Jina Mkoa
  • 09/7/2018 - 31/7/2018
UTENGENEZAJI BIDHAA ZA NGOZI Mara