Ratiba ya Maonesho ya Kibiashara

Ukurasa huu unatoa habari kuhusu sehemu na tarehe za maonesho ya kibiashara yanayotarajiwa kufanyika ndani na nje ya nchi. Kadharika, SIDO huandaa maonesho yake ya Kikanda (kanda inajumuiasha mikoa jirani isiyo pungua mitatu) kwa lengo la kukuza masoko kwa kuvumisha bidhaa za wajasiriamali wanaoshiriki maonesho husika. Katika maonesho, wajasiriamali hupata fursa ya kuonesha bidhaa na pia hupata oda za bidhaa wanazotengeneza.

Jina la Maonesho Wigo Tarehe Eneo Mawasiliano
MAONESHO YA NYANDA ZA JUU KUSINI Ya Ndani NJOMBE Kwa maelezo zaidi wasiliana na SIDO MAKAO MAKUU S.L.P 2476 SIMU: +255 752 898965 (Maneja wa Masoko) +255 767 698499 (Meneja Mkoa - Njombe) Barua Pepe: mm@sido.go.tz / njombe@sido.go.tz Tovuti: www.sido.go.tz
MAONESHO YA KANDA YA KATI Ya Ndani KATAVI Kwa maelezo zaidi wasiliana na SIDO MAKAO MAKUU S.L.P 2476 Simu: +255 752 898965 (Meneja wa Masoko) +255 757 641619 (Meneja wa Mkoa - Katavi) Barua pepe: mm@sido.go.tz / katavi@sido.go.tz Tovuti: www.sido.go.tz