Mianya ya Biashara

Ukurasa huu huonesha maombi juu ya uhitaji au upatikanaji wa bidhaa au huduma yaliyotumwa kwenye tovuti ili kuwajulisha wauzaji au wanunuzi wa bidhaa/huduma husika kutuma maombi ya kukidhi mahitaji yao.

Ili kutuma ombi la hitaji au kupata bidhaa au huduma kwenye tovuti, bofya neno “post trade lead”, andika hitaji lako, chagua lugha ya kiswahili au kingereza, chagua mkoa uliko, andika maelezo ya hitaji lako, andika namba ya simu na anuani ya barua pepe kama unayo, bofya kwenye kitufe cha “Mimi sio robot” bofya neno Submit.