SIDO Makao Makuu

Mkoa wa DarEs Salaam ni kati ya mikoa 30 katika Tanzania. Makao Makuu ya mkoa  huu yapo DarEs Salaam. Kwa mujibu wa taarifa ya sensa ya mwaka 2012, idadi ya watu katika mkoa huu inafikia 4,364,541 kiasi ambacho  ni kikubwa kuliko makadirio ya awali ya watu 3,270,255. Katika kipindi cha miaka kumi (2002-2012) utafiti unaonesha kuwa ongezeko la idadi ya watu inafikia wastani wa asilimia 5.6 kwa mwaka, kiasi hicho ni wastani wa watu 3,3133 kwa kila kilomita ya mraba.

Contact
Mtu wa Kuwasiliana: 
Mkurugenzi Mkuu
Anuani: 
S.L.P. 2476
Namba Ya Simu: 
+255 22 215 1948
Simu Ya Mkononi: 
+255 782 374 894; +255 655 374 894
Barua Pepe: 
dg@sido.go.tz