TDC SHINYANGA KUTENGENEZA VINAWIO VYA KUKANYAGA

Swahili

 

Kituo Cha Kuendeleza Technolojia (TDC) SIDO Shinyanga kinatengeneza vinawio mikono vya kukanyaga kwa miguu na cha automatic (sensing machine). Wadau mbalimbali wamefaidika na teknolojia hii ikiwepo Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga. Karibuni watu binafsi na taasisi mbalimbali kwa ajili ya kujipatia vinawio mikono vyenye ubora. Kwa mawasiliano zaidi tumia 0753497005