Vifungashio

Ukurasa huu unatoa taarifa za watengenezaji/wasambazaji wa vifungashio mbalimbali kwa ajili ya bidhaa. Kuna makampuni mengi ndani na nje ya Tanzania yanayoshughulika na utengenezaji wa vifungashio vikiwemo vya karatasi, plastiki na kioo. Ukurasa huu unaonesha orodha ya makampuni hayo na kuainisha namba za simu za watengenezaji kwa mawasiliano, aina za vifungashio na maeneo yanakopatikana. Kwa kuwarahisishia wajasiriamali kujipatia vifungashio, Ofisi za SIDO pia zinawezesha upatikanaji wa vifungashio kulingana na mahitaji ya wajasiriamali. Ofisi za SIDO zipo katika mikoa yote ya Tanzania bara.

Company Name Company Description Packaging material type Contact Details
DUKA LA VIFUNGASHIO Sabuni, Asali, Juisi, Matunda, Viungo Simu: 0717 099997/0783 173777, S.L.P.166, Msamvu Stand - Morogoro. Read More
MIFUKO SHOP Chupa za plastiki kwa ajili ya Juice na kufungasha vyakula Simu: 0716 911327, S.L.P 166, Mtaa wa Nunge - Morogoro. Read More
POLYPET INDUSTRIES LTD

Wanatengeneza aina mbalimbali za chupa kuanzia na yenye ujazo wa mils 40 hadi mils 1500.

Chupa za Plastiki S.L.P 22345 Dar Es Salaam, Kiwanja Na. 427, Mbezi-Beach Makonde karibu na Shamo Industries, Simu: +255 787 793 295, Barua Pepe: polypet-tz@gmail.com Read More
SIDO MOROGORO - INDUSTRIAL AREA Sabuni, Asali, Mvinyo, Mifuko ya unga Lishe, Lebo na Juisi Simu: 0752 430923/0717 778235, S.L.P 1022, Kihonda - Morogoro Read More
WEGMAR

 We offer a wide range of custom poly bags which are produced from high quality raw material...

VIFAA VYA PLASTIKI NA KARATASI Simu: +255 784 837500, +255 754 837500 Barua pepe: sales@wegar.co.tz, Tovuti:www.wegmar.co.tz Read More