Waziri mkuu atembelea banda la SIDO katika maonesho ya sabasaba

       Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania, Mh. Kassim Majaliwa akiwa ameambatana na Waziri wa Viwanda na Biashara,  Mh. Innocent Bashungwa, wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko na Uwekezaji kutoka SIDO, Bi. Shoma Kibende kuhusiana na lengo la SIDO kushiriki katika maonesho ya 44 ya Sabasaba

         

   

zaidi akijionea wajasiriamali wanaohudumiwa na SIDO pamoja na mashine zinazotengenezwa na SIDO. Tukio hili limetokea siku ya ufunguzi wa maonesho ya Sabasaba tarehe 03/07/2020 katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere, Jijini Dar Es Salaam.