1. Jifunze na kuelewa ukubwa wa mashine na kazi yake
2. Andaa mchoro wa mpangilio/mchakato wa uzalishaji na mashine zake
3. Wasiliana na SIDO ili kupata mwongozo wa mpangilio wa mashine na vifaa viwandani. Pata mafunzo/maelekezo ya KAIZEN
4. Waone TFDA kupitia SIDO kwa ajili ya kuhakikisha sehemu ya kufanya kazi na mpangilio.
5. Jenga au chagua jengo kulingana na ushauri/maelekezo ya TFDA
6. Tumia wataalamu wa viwanda kisimika mashine kulingana na maelekezo ya TFDA