LEATHER PRODUCTS TRAINING

English

Mafunzo kwa Vijana wenye Umri wa Miaka 18 wa wilaya ya Musoma Mjini yatakayofanyika katika Ofisi za SIDO Mara. Lengo la Mafunzo ni kutoa ujuzi kwa Vijana ili waweze kujiari na kupunguza wimbi kubwa la ukosefu wa ajira. Vifaa vitakavyotengenezwa katika mafunzo hayo ni Viatu ( Kike na Kiume), Mikoba ya akina Mama, wallets, sandals za kike na kiume. Mafunzo haya yatafanyika kwa muda wa wiki 3 kuanzia tarehe 08/07/2018 hadi 30/07/2018. Tafadhari jaza fomu iliyoambatanishwa na itume kwa barua pepe ya mara@sido.go.tz

Wahi kujiandikisha nafasi ni chache.

Kwa mawasiliano zaidi piga namba +255754021981.

Registration Form: 
Region: 
Mara
Training Date: 
09/7/2018 to 31/7/2018