English
Region:
Dar es salaam
Sector:
Fisheries
Mashine ya kutengeneza chakula cha samaki ni nyenzo inayosaidia kuzalisha tambi za kulishia samaki. Mashine hii inaendeshwa kwa umeme wa nyumbani-mkondo mmoja, uwezo wake ni kilogramu 20 kwa saa, mashine inazalishwa na Kaparata Engineering wa SIDO Dar es salaam Mtaa wa Viwanda, Mob.0786603325.
Manufacturer:
Kaparata Engineering, SIDO Dar es salaam Industrial Estate, Cel: 0786603325