Ushauri 10 wa kuboresha

Unapotaka kuboresha mashine, bidhaa au biashara yoyote ile, kuna ushauri wa aina kumi unaokuelekeza ufanye nini ili uweze kufikia lengo lako. Huu ni ushauri kutoka Kaizen: -

1. Acha mawazo yasiyobadilika.

2. Fikiria njia za kufanya iwezekane.

3. Hakuna samahani itakayokubalika.

4. Tekeleza ufumbuzi rahisi, siyo ulio mgumu.

5. Rekebisha makosa moja kwa moja.

6. Tumia utambuzi wako usitumie pochi yako.

7. Matatizo ni nafasi/mianya.

8. Rudia "Kwa nini "? mara tano.

9. Pata mawazo kutoka kwa watu mbali mbali.

10. Hakuna mwisho wa kuboresha.