BODI MPYA YA WAKURUGENZI SIDO YAZINDULIWA RASMI
Hivi karibuni, Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mheshimiwa Dkt. Ashatu K. Kijaji akiwa ameongozana na Katibu Mkuu wa Wizara, Dkt. Hashil T. Abdallah, walizindua Bodi mpya ya Wakurugenzi - SIDO.