Uhamishaji wa Teknolojia

Uhawilishaji wa teknolojia ni mchakato wa kuhawilisha stadi, ujuzi, teknolojia, njia za uzalishaji na sampuli za uzalishaji kutoka kwa watengenezaji kwenda taasisi au Viwanda vidogo ili kuhakikisha uendelezaji wa kisayansi na teknolojia unawafikia watumiaji kwa wingi zaidi. SIDO ina mamlaka ya uhawiliishaji wa teknolojia kutoka nje na ndani ya nchi kwenda kwa wazalishaji wa ndani na kuwawezesha kuanzisha na kukuza viwanda vyao. Teknolojia zinazohawilishwa na SIDO zinaonyeshwa kwenye Web portal ili wadau waweze kuziona na kuwafikia wahitaji.

hakuna taarifa