Swahili
Aina za Vifaa Vya Ufungaji:
Watengenezaji wa mifuko ya mikate aina zote, mifuko ya kuwekea chumvi, mifuko ya kuwekea unga/mchele na nafaka nyinginezo pamoja na mifuko ya kuwekea taka
Mawasiliano:
Wanapatikana Mtaa wa Mwakalinga ( Pembeni ya kiwanda cha Konyagi ) Mtaa wa Viwanda, Changombe - Dar es Salaam