Kanda ya Pwani (Dar Es Salaam, Pwani, Lindi, Mtwara and Morogoro)

Swahili
Tarehe ya Tukio: 
26/10/2016 to 31/10/2016
Wigo: 
Ya Ndani
Mawasiliano: 
Meneja Mkoa SIDO - Pwani P.O. Box 30122 Tel: 023 2402347
Eneo La Tukio: 
Pwani

Maonesho haya yatakuwa na aina mbalimbali ya bidhaa zikiwemo bidhaa za ngozi, nguo, vyakula vilivyosindikwa, bidhaa za uhandisi na madawa ya asili. Kwenye maonesho utakutana na wajasiriamali kutoka Pwani, Dar Es Salaam, Morogoro, Mtwara na Lindi wakiwemo na bidhaa za korosho, unga wa mhogo, batiki, bidhaa za uhandisi, bidhaa za mihanzi na nyingine nyingi zitakuwa kwenye maonesho hayo. Tunategemea wageni kutoka maeneo na nchi za jirani. Njoo ujipatie bidhaa ya chaguo lako. Kuwa Mtanzania halisi kwa kununua bidhaa zilizotengenezwa Tanzania.