Kanda ya Ziwa ( Mwanza, Kagera, Mara, Shinyanga, Simiyu and Geita )

Swahili
Tarehe ya Tukio: 
28/9/2016 to 03/10/2016
Wigo: 
Ya Ndani
Mawasiliano: 
Meneja Mkoa SIDO - Mwanza P.O. Box 1509 Tel: 0228 2570062
Eneo La Tukio: 
Mwanza

 Maonesho haya yatakuwa na bidhaa mbalimbali kuanzia bidhaa za ngozi, nguo, vyakula vilivyosindikwa, bidhaa za uhunzi na madawa ya asili. Pia utakutana na wajasiriamali kutoka maeneo mbalimbali wakiwa na bidhaa zinazozalishwa kwa wingi kwenye mikoa yao. Kwa mfano utajipatia bidhaa za mihogo, michele,mafuta ya alizeti, mvinyo wa nanasi/ndizi, sosi ya nyanyam maziwa yaliyosindikwa, bidhaa za samaki bidhaa za katani na bidhaa nyingine nyingi. Bidhaa za uhandisi kama mashine ya kusindika mafuta ya mawese, mashine ya kuchakata ngozi, na mengine mengi yatakuwepo kwenye maonesho hayo. Tunategemea kuwepo kwa wageni toka maeneo ya jirani na nchi jirani pia. Kuwa mtanzania wa ukweli kwa kununua bidhaa za Kitanzania.