Mafanikio Ya wajasiriamali

Ukurasa huu huonesha taarifa za mafanikio ya wajasiriamali katika Tanzania. Kusudi la taarifa hizi ni kuhamasisha watanzania kuingia kwenye shughuli za ujasiriamali kwa kupitia taarifa za mafanikio ya watu waliothubutu kuanzisha shughuli za biashara.