Mafunzo ya Usindikaji Mbogamboga na Matunda

Swahili

Mafunzo ya Usindikaji wa Mnbogamboga na vyakula yanatarajiwa kuendeshwa na SIDO Mkoa wa Kilimanjaro Moshi kuanzia 08-12/11/2015 na11-14/11/2015 itafanyika woilayani Rombo

Mkoa: 
Kilimanjaro
Tarehe Ya Mafunzo: 
08/11/2015 to 12/11/2015
15/11/2015 to 19/11/2015