Ratiba ya Maonesho ya Kibiashara

Ukurasa huu unatoa habari kuhusu sehemu na tarehe za maonesho ya kibiashara yanayotarajiwa kufanyika ndani na nje ya nchi. Kadharika, SIDO huandaa maonesho yake ya Kikanda (kanda inajumuiasha mikoa jirani isiyo pungua mitatu) kwa lengo la kukuza masoko kwa kuvumisha bidhaa za wajasiriamali wanaoshiriki maonesho husika. Katika maonesho, wajasiriamali hupata fursa ya kuonesha bidhaa na pia hupata oda za bidhaa wanazotengeneza.

Jina la Maonesho Wigo Tarehe Eneo Mawasiliano
SIKU YA VIWANDA AFRIKA 2021 Ya Ndani 05/12/2021 to 10/12/2021 VIWANJA VYA MWL. JULIUS K. NYERERE, BARABARA YA KILWA - DAR ES SALAAM MAMLAKA YA MAENDELEO YA BIASHARA TANZANIA S.L.P 5402, Dar es Salaam,Tanzania Simu: +255 22 2850 238, Piga (Simu Bure) 0800110133 au 0800110134 Nukushi: Na: +255 222850239/539 Barua pepe: info@tantrade.go.tz Tovuti: www.tantrade.go.tz
MAONESHO YA KANDA YA KUSINI MASHARIKI (Dar Es Salaam, Pwani, Lindi, Mtwara and Morogoro) Ya Ndani 15/10/2021 to 19/10/2021 MOROGORO Meneja wa Mkoa, SIDO Morogoro S.L.P 1022 Simu: +255 713 475 573 Barua Pepe: morogoro@sido.go.tz Tovuti: www.sido.go.tz
MAONESHO YA SIDO KITAIFA 2021 Ya Ndani 21/9/2021 to 30/9/2021 KASULU, KIGOMA Meneja wa Mkoa, SIDO Kigoma S.L.P 507 Simu: +255 28 280 3282 / 0769 971 018 Barua Pepe: kigoma@sido.go.tz Tovuti: www.sido.go.tz
MAONESHO YA KANDA YA KATI (Tabora, Dodoma, Singida, Katavi and Kigoma) Ya Ndani 02/9/2021 to 07/9/2021 KATAVI Meneja Mkoa, SIDO - Katavi S.L. P ....... Simu: +255 757 641 619 Barua pepe: katavi@sido.go.tz Tovuti: www.sido.go.tz
MAONESHO YA KANDA YA ZIWA (Mwanza, Kagera, Mara, Shinyanga, Simiyu and Geita) Ya Ndani 19/8/2021 to 25/8/2021 MARA Meneja wa Mkoa, SIDO - Mara S.L.P 464 Simu: +255 28 262 3050 Barua pepel: mara@sido.go.tz Tovuti: www.sido.go.tz
MAONESHO YA NYANDA ZA JUU KUSINI (Rukwa, Ruvuma, Iringa, Njombe and Mbeya) Ya Ndani 24/7/2021 to 29/7/2021 NJOMBE Meneja wa Mkoa, SIDO Njombe S.L.P 760 Simu: +255 784 798 499 Barua Pepe: njombe@sido.go.tz Tovuti: www.sido.go.tz
MAONESHO YA 45 YA KIMATAIFA 2021 Ya Nje 28/6/2021 to 13/7/2021 VIWANJA VYA MWL. JULIUS K. NYERERE, BARABARA YA KILWA - DAR ES SALAAM