MAELEZO
Uendeshaji : Injini ya Petroli 6.5 HP
Uwezo : Kilo 600-800 kwa saa
Matumizi ya mafuta(Fuel Consump) : Lita 1.0-1.5 ya petroli kwa saa
Bei : TZ Shilingi 1,500,000/=(18-04-2018)
Kwa taarifa zaidi wasiliana na:
Inatengenezwa na Intermech Engineering Limited
Kihonda Industrial Estate
S.L.P. 1278
Morogoro
Simu namba;0713485582/0713771182
Tovuti;www.intermech.ws
Inatangazwa na; SIDO MOROGORO
S.L.P..1022,
MOROGORO
Simu namba:0785506188
Barua pepe;morogoro@sido.go.tz