Mizani ya kupima uzito wa kuanzia gramu 50 mpaka kilo 5.

Swahili

Mizani ni kipimo kinachotumika katika biashara mbali mbali zinazouza bidhaa kwa uzito. Ina uwezo wa kupima kuanzia gramu 50 mpaka kilo 5. Kwa mfano gramu 250, gramu 500, kilo 1, Kilo 2, kilo 3, kilo 4 n.k.

Kila mwaka mizani iliyotumika lazima ikapimwe na idara ya vipimo ili kuifanya ipime katika viwango kamili.

Bidhaa: 
Mizani ya kupima uzito wa kuanzia gramu 50 mpaka kilo 5
Mkoa: 
Tanga