Mkoa wa Dar Es Salaam

Mkoa wa DarEs Salaam ni kati ya mikoa 30 katika Tanzania. Makao Makuu ya mkoa  huu yapo Dar-Es-Salaam. Kwa mujibu wa taarifa ya sensa ya mwaka 2022, idadi ya watu katika mkoa huu inafikia 5,282,728 kiasi ambacho  ni kikubwa kuliko makadirio ya awali ya watu 3,270,255. Katika kipindi cha miaka kumi (2002-2012) utafiti unaonesha kuwa ongezeko la idadi ya watu inafikia wastani wa asilimia 5.6 kwa mwaka, kiasi hicho ni wastani wa watu 3,3133 kwa kila kilomita ya mraba.

Contact
Mtu wa Kuwasiliana: 
Meneja wa Mkoa
Anuani: 
S.L.P. 22151, Dar Es Salaam
Namba Ya Simu: 
+255 22 2865702
Simu Ya Mkononi: 
0756502583
Barua Pepe: 
daressalaam@sido.go.tz