Swahili
Novemba, 2015; SIDO na Canadian Executives Services Organization (CESO) imeingia katika makubaliano ya utekelezaji wa pamoja wa miaka mitano katika maeneo yafuatayo:
- Kujenga uwezo wa wajasiriamali wadogo kukua na kuhimili ushindani;
- Kuimarisha mfumo wa TEHAMA wa SIDO;
- Kuimarisha na kuboresha uwezo wa utendaji wa shirika;
- Kuongeza uwezo wa kujenga misingi ya ujasiliamali na biashara;
- Masoko na habari;
- Kuwezesha upatikanaji na usambazaji wa teknolojia;
- Miundombinu;
- Kuimarisha uwezona mfumo wa uzalishaji, ubora wa bidhaa na utengenezaji wa bidhaa mpya.