Pembejeo za Kilimo

Ukurasa huu hutoa taarifa za upatikanaji wa pembejeo za kilimo. Taarifa hizi zina ainisha jina la pembejeo, jina la zao linalohusiana na pembejeo na mawasiliano kwa wagavi wa pembejeo husika.
Kuna aina mbili za pemebejeo:- kuna pembejeo za mimea katika kilimo k.m. samadi, mbolea za viwandani, mbegu, madawa ya kuulia wadudu waharibifu na magonjwa ya mazao; kadharika kuna pembejeo mtaji, hizi zinahusu vitendea kazi k.m. matrekta, matrekta ya kukokotwa, mashine za kuvunia, kukatia, mitambo ya kupulizia, kundoa taka na kunyunyizia dawa

Ili kupata taarifa ya pembejeo andika zao husika kwenye kisanduku cha kutafutia, kisha bofya kitufe cha “Tafuta”