Wanatengeneza aina mbalimbali za chupa kuanzia na yenye ujazo wa mils 40 hadi mils 1500. Kwa wale ambao wangependelea kuwa na aina yao tofauti, huduma hiyo inatolewa pia. Bei zao ni nzuri ukilinganisha na maeneo mengine.
Swahili
Aina za Vifaa Vya Ufungaji:
Chupa za Plastiki
Kiasi Kidogo Kinachoweza Kuagizwa:
Begi Moja
Mawasiliano:
S.L.P 22345 Dar Es Salaam, Kiwanja Na. 427, Mbezi-Beach Makonde karibu na Shamo Industries, Simu: +255 787 793 295, Barua Pepe: polypet-tz@gmail.com
Jina La wa Kuwasiliana:
Kamil Dawood