TANSOAP INDUSTRY

Tansoap Industry ni kiwanda cha Sabunikilichopo mtaa wa viwanda wa SIDO Kigoma. Hii ni kiwanda cha kwanza cha Sabuni kupata alama ya ubora ya TBS katika kigoma.

Jukumu kuu ambalo SIDO iliingia katika kuwezesha maendeleo ya kiwanda hiki ni pamoja na:

  •     Utoaji wa mkopo wa CGS jumla ya 50M
  •     Iliunganisha Viwanda na wakala wa TBS kwa alama ya TBS
  •     Mafunzo juu ya uhakikisho wa ubora katika uzalishaji
Swahili
Main Image: