Swahili
Malengo:
Uchakataji wa ngozi na rasilimali zilizopo.
Moduli:
Jina la moduli:
Teknolojia ya uchakataji wa ngozi
Maelezo ya Moduli:
1.Maana ya uchakataji wa ngozi.
2.Maelezo juu ya aina za ngozi.
3. Vyanzo vya ngozi na matumizi ya ngozi.
4.Matunzo mazuri ya ngozi toka mnyama akiwa hai mpaka anapochinjwa na ngozi kuchunwa.
5. Njia za utunzaji.
6. Sehemu ya kutunzia.
7. Matabaka ya ngozi.
8. Uandaaji wa vifaa vya kufanyia kazi.
9. Uandaaji wa kileo kinachotumika kuchakatia ngozi.
10. Njia mbalimbali zinazotumika wakati wa uchakataji wa ngozi.
11. Kupima mafanikio baada ya kuchakata.
12. Ufafanuzi wa sehemu ya kuchakatia ngozi.
13. Kufahamu matatizo.
14. Masuala ya mazingira..
Mbinu:
Mchanganyiko wa mafunzo kwa njia ya ushirikishaji, majadiliano ya makundi na mafunzo kwa vitendo.
Kundi Husika Linalolengwa:
Washikadau wa ngozi,wajasiriamali walio tayari kuanzisha viwanda katika sekta ya ngozi pamoja na wajasiriamali ambao tayari wanazalisha bidhaa zitokanazo na ngozi.
Ada Ya Programu:
TZS 300,000/= kwa muhusika (ada,chakula na steshonari)
Muda wa Kozi:
wiki tatu