Vifungashio

Ukurasa huu unatoa taarifa za watengenezaji/wasambazaji wa vifungashio mbalimbali kwa ajili ya bidhaa. Kuna makampuni mengi ndani na nje ya Tanzania yanayoshughulika na utengenezaji wa vifungashio vikiwemo vya karatasi, plastiki na kioo. Ukurasa huu unaonesha orodha ya makampuni hayo na kuainisha namba za simu za watengenezaji kwa mawasiliano, aina za vifungashio na maeneo yanakopatikana. Kwa kuwarahisishia wajasiriamali kujipatia vifungashio, Ofisi za SIDO pia zinawezesha upatikanaji wa vifungashio kulingana na mahitaji ya wajasiriamali. Ofisi za SIDO zipo katika mikoa yote ya Tanzania bara.

Company Name Company Description Packaging material type Contact Details
Centaza Plastics LTD DAR ES SALAAM Watengenezaji wa mifuko ya mikate aina zote, mifuko ya kuwekea chumvi, mifuko ya kuwekea unga/mchele na nafaka nyinginezo pamoja na mifuko ya kuwekea taka Wanapatikana Mtaa wa Mwakalinga ( Pembeni ya kiwanda cha Konyagi ) Mtaa wa Viwanda, Changombe - Dar es Salaam Read More
Choicepack DAR ES SALAAM Watengenezaji wa vifungashio vinavyotokana na karatasi pamoja na boksi aina zote Yupo maeneo ya Tazara, anatazamana na ilipo Wizara ya Kilimo Read More
CREATIVE PACKAGING LTD Watengenezaji na wasambazaji wa vifungashio mbalimbali Wanapatikana Changombe, Dar Es Salaam Simu: 2865174 +255 (22) 2865163 +255 (22) 2865075 0774-764646 0784-764646 www.cretivepackagingt z.com Read More
DUKA LA VIFUNGASHIO Sabuni, Asali, Juisi, Matunda, Viungo Simu: 0717 099997/0783 173777, S.L.P.166, Msamvu Stand - Morogoro. Read More
HI-TECH EAST AFRICA LTD Watengenezaji na wasambazaji wa vifungashio mbalimbali S.L.P 943, Dar Es Salaam 2860685 +255 (22) 2860683 / +255 (22) 2860684 Read More
HILL PACKAGING COMPANY LTD Watengenezaji wa: PP Woven Sacks For Packaging Of Grain, Flour Animal Feeds PP Woven Sacks with Liner For Packing & Preserving Sugar Laminated PP Woven Sacks For Packing Detergants & Salts Pellet PP Material Sheeting Material For Various Use S.L.P 253, Dar Es Salaam Simu: 0784-617565 / 0655-617565 www.hillgroup.co.tz Read More
MIFUKO SHOP Chupa za plastiki kwa ajili ya Juice na kufungasha vyakula Simu: 0716 911327, S.L.P 166, Mtaa wa Nunge - Morogoro. Read More
Modern Flexible Packaging LTD Multi layer laminates of various combinations ranging from single layer to Multi - layers such as Pet-Poly, Pet -Metpet -Poly, Bopp -Bopp, Pet Bopp, Pet-Poly coated paper etc, to pack products such as biscuits, candies, chocolates, potato chips, snack foo Wanapatikana barabara ya Mbozi , Chang'ombe, S.L.P 9958 Dar es Salaam, Tanzania Simu: +255 222860186 Nukishi- +255 22 2864054 Simu kiganjani:+255 786005482 +255 773005482 Email -: info@mfpltz.com -: mfplmktg@bol.co.tz Read More
OMAR PACKAGING INDUSTRIES LIMITED Watengenezaji na wasambazaji wa vifungashio mbalimbali S.L.P 2517, Dar Es Salaam Simu: +255 (22) 2752436 www.bakhresa.com Read More
PAMOJA INDUSTRIES Watengenezaji na wasambazaji wa vifungashio mbalimbali Wanapatikana Tabata, Dar Es Salaam S.L.P 70239, Simu: +255 (22) 2807122 0713-608541 www.opensanit.com Read More

Pages