Vikundi vya Ushirika wa Wakulima

Ukurasa huu hutoa wasifu wa vikundi au vyama vya wakulima vinavyojihusisha na bidhaa za kilimo na ufugaji. Undani wa Vikundi/vyama pamoja na mazao yanayoshughulikiwa na vyama husika zinafafanuliwa ili kutoa mwongozo kwa wakulima kujiunga au kutafuta huduma kutoka kwa vikundi husika.
Upekuzi wa kupata vikundi/vyama sahihi kwa huduma unayohitaji, andika jina la zao lako, kisha bofya kitufe cha “Tafuta”.

Jina Mahali Mawasiliano Mnyororo wa Bidhaa za Kilimo Uwezo wa Uzalishaji Wastani wa Bei sokoni
Mkombozi Appex group Sengerema Mobile No: 0759 863725 Cassava flour processing 1,200 Kg per month 1000/= TSh @Kg