Wafanyabiashara na Wasindikaji

Ukurasa huu hutoa habari za wafanyabiashara na wasindikaji wa mazao ya kilimo. Wafanyabiashara hununua mazao kutoka shambani na wasindikani husindika mazao ya kilimo kwenda ngazi nyingine ya bidhaa ya mazao.

Kupata taarifa za wafanyabiashara/wasindikaji, andika jina la zao kwenye kitufe cha kutafutia kisha bofya kifufe cha “Tafuta”.