Wafanyakazi wa SIDO Shinyanga wapata mafunzo ya Uzimamaji moto na jinsi ya kuzuia majanga ya moto

Swahili

 

Wafanyakazi 9 wa SIDO Shinyanga wamepata mafunzo ya Uzimamaji moto na jinsi ya kuzuia majanga ya moto Majumbani na Ofisini. Mafunzo hayo yalitolewa kwa kushirikiana na Ofisi ya Kikosi cha Zima moto Mkoa wa Shinyanga. Mafunzo yaliongozwa na Afisa Zimamoto Mkoa wa Shinyanga Ndg.Daniel Lugobi na Peter Michael