Kazi za kuendeleza ujasiriamali unatekelezwa kwa kushirikiana na washirika mbalimbali kama
• Serikali ya Korea Kusini
• Serikali ya Australia
• Mfuko wa kimataifa wa maendeleo ya Kilimo( IFAD)
• Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP)
• Wizara ya Viwanda na Biashara
• Serikali za Mikoa, Wilaya na Vijiji
• Serikali ya Canada
• Taasisi ya biashara ya wanawake(TWCC)
• MIVARF
• Umoja wa nchi za Ulaya (EU)
• Taasisi ya Biashara, Viwanda na Kilimo(TCCIA)
• Benki ya Maendeleo Afrika(ADB)
• UNIDO
• Taasisi ya asali Tanzania
• Taasisi ya Huduma za Misitu Tanzania.
Swahili